Friday, December 30, 2011

Tasnia ya habari Tanzania imempoteza Mwandishi mwingine  mkongwe nchini John Ngayoma ambaye  alifariki dunia jana asubuhi  baada ya kuugua kwa muda mrefu..
Katika kipindi cha uhai wake marehemu alifanya kazi na Redio Tanzania,ITV,na BBC alipokuwa anafanya mpaka mwisho wa uhai wake.
Bwana ametoa na bwana ametwaa, Mungu ailaze roho ya marehemu  mahali pema peponi.

No comments:

Post a Comment